Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
Wana Jamii naomba kuuliza swali.
Je wanaume wako tayari kuvumilia ukimtukania mama yake mzazi kuliko ukimtukania mkewe?
Kuna hili tusi la deshideshi ya mama yako, nadhani kila mtu kisha wahi kutukanwa, haliumi hata kidogo.
Lakini ukienda mbali nitaifyeka shingo yako kwa kosa la kumtukana mama yangu.
Mke wangu umtukane tu, nitakoroma kwa ajili ya upendo na kuonyesha kujali.