Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kama kuna watu wanaoamini mke ulienae ni bora kuliko hawara ni mimi wajameni...zaidi ya yote hawara si soln ya matatizo ya ndoa...kama una matatizo ya ndoa ni vyema ukamwomba mungu akusimamie na kukuongoza..kipindi hicho shetani anafurahi sana na kuanza kukumbuka namba za waatumwa wa zamani na hivyo mke wako kuonekana hana maana tena...ndugu zanguni tujifunze kuishi na kumpenda yule anaefanana na wewe
Kwenye neno wanasema ukimba ndoa uanaepewa means yule uliefanana nae...so kama ukiwa malaya kuona soln ya matataizo yako usianze kupiga kelele kuona mwenzio nae anatunzwa....kwa nini wewe ukiomba mke mwema unaomba anaefanana na wewe so ukiwa malaya lazima na yeye afanane na wewe......kuna wengi wanasababu za ajabu ati jamani mke wangu awezifanya anayonifanyia hawaara yangu...wewe kama unampenda atajua tu..nini chagua design unayopenda mpe mazoezi ataweza tu...achana na nyumba ndogo
USHAURI
ACHANENI NA NYUMBA NDOGO..