Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hakuna mwanamke wa kawaida bali kuna wanawake aina mbili:
1. Understanding
2. Non-Understanding
Kundi la kwanza (Understanding) sifa zao:
- Open minded, huwa wako real to themselves and their patners
- Hawapendi makelele/malumbano.
- Husikiliza zaidi kuliko kuongea
- Wepesi wa kujishusha inapobidi ili kusawazisha mambo.
- Wako positive and very supportive in different situations..humbleness!
- Hawana calibre ya ujuaji.
- Mara nyingi hupenda kupata suluhu ya matatizo upesi kabla mambo hayajawa mengi.
Kundi la pili hawa (Non-Understanding):
- Closed minded, hawawezi kuelezea hisia zao ila wanataka wewe ujue anachotaka as if we ni malaika.
- Argument oriented, jambo dogo litakuzwa ilimradi muanze kuparuana tu...ukikasirika basi hapo moyo wake unakuwa baridi kwamba kakukomesha.
- Wajuaji, huwezi mshauri kitu maana yeye anajua zaidi...kumbe kasikia kwa shoga yake flani huko anakomalia anachotaka yeye ndio kiwe. Ukimkatalia ukafanya lako ujue nyumba haitakalika.
- Attention seeking, kususa ni silaha yao kubwa hawa viumbe wa kundi hili. Atakunyima unyumba, ataacha kukufungulia geti, atakuchunia ili tu akukomeshe na raha yake aone mwisho wewe ndio umejipendekeza.
- Ulalamishi mwingi na masimango, KE hawa hupenda kuongea sana, atalalamika kuhusu hiki, mara kile mara mbona hauko kama fulani.
- Hawapendi kuwa responsible katika situations, Usiombe kufanya plan na mwenza wa kundi hili halafu ishu ikabuma. Lazma atatafuta namna ya kuonesha kwamba wewe ndio umesababisha ishu ifeli ilimradi tu akusimange na kukuangushia jumba bovu. Hata kama wazo alitoa yeye 🤣🤣🤣
Je, mkeo anatokea katika kundi gani hapo? Let's share!