technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
NB. Kufia eneo la kanisa sio tiketi ya kwenda mbinguni.Nitakuwepo kanisani leo usiku,lolote likinikuta itakuwa limenikuta katika kuutetea ukristo na nitapalizwa mbinguni kwa Bwana.
Nitakuwepo kanisani leo usiku,lolote likinikuta itakuwa limenikuta katika kuutetea ukristo na nitapalizwa mbinguni kwa Bwana.
Kila mtu atakufa, hata wewe chawa lazima ufeKanisa ni Jengo tu mkuu na sio gate pass ya Kwenda mbinguni.
Ukiambiwa jambo chukua tahadhari zote muhimu .
Kwakuwa life au uhai is none -refundable , once umeondoka.
Kila mtu atakufa, hata wewe chawa lazima ufe
Bulicheka na wanawe!Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Kuna wahuni wanapanga kwenda kufanya fujo kanisani hasa RC
Watu hao watabeba siraha kwenye mabegi lengo ni kuchafua kanisa lionekane ni kanisa la wahuni na waharifu.
Pia Kuna viashiria vya matukio ya kigaidi ndani ya kanisa leo na kesho
Wito vyombo vya usalama fanyeni majuku yenu wahuni wapo kazini kueneza udini na kuichafua TANZANIA.
Makanisa hasa RC chukueni hatua haraka Sana.
bado unaogopa kufa mkuu? Tulizaliwa ili tufe.Kanisa ni Jengo tu mkuu na sio gate pass ya Kwenda mbinguni.
Ukiambiwa jambo chukua tahadhari zote muhimu .
Kwakuwa life au uhai is none -refundable , once umeondoka.
Wewe utaenda?NB. Kufia eneo la kanisa sio tiketi ya kwenda mbinguni.
Matendo na moyo safii bandugu
Tena chawa pro maxKifo ni nature au Asili Ila tunachopambania ni ile Pre-mature death
Then umetumia vigezo gani kuniita CHAWA?
Sijaenda nimesali kwa Tv.Wewe utaenda?
Ubarikiwe sanaNB. Kufia eneo la kanisa sio tiketi ya kwenda mbinguni.
Matendo na moyo safii bandugu