Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
Hicho ndicho ninachokiamini,mkhtaryan ana timu spirit na ni mwepesi kuendana na saikolojia ya wenzake,pia ana penetration pas....ni mwepes pia.....sanchez anapambana lakini hana uwezo wa kuendana na wenzake,yeye yupo kivyake vyake...mpaka ashindwe kwenda ndo atoe pas,kwangu mkhtaryan anafit zaid kwa wenger kuliko sanchez....