Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
Mkuu huu ni mwaka gan?
Mkuu huu ni mwaka gan?
Endelea kutoa na za miaka mingine..
Kwa hio unaamin kwa mchezaj amefikia kiwango kikubwa sana kwa miaka hio yote?Lugha kwako tatizo mkuu pole since= tangu huo msimu had sasa maana kaondoka ni mwamba ktk timu ya arsenal means kazidiwa assist 6 na ozil tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] only the word since is used to test the language competence?Lugha kwako tatizo mkuu pole since= tangu huo msimu had sasa maana kaondoka ni mwamba ktk timu ya arsenal means kazidiwa assist 6 na ozil tu
Infact ni kwamba ckuisoma vizur..Unaelewa maana ya SINCE?
Kweli aisee.............Lakini sanchez ni wa kawaida sana na hizo,goalz na assist zitashuka akiwa old t hasa akiwa na jozee
Mleta mada anajaribu Ku apply defence mechanism (coping strategies)
Sanchez yuko vzr aisee
Sawa,lakini bado sanchez ni wa kawaida sana tofaut na sifa anazopandikizwa nazo...kwangu hana utofaut na artulo vidal, pia sanchez alifaa sana acheze sita...Mleta mada anajaribu Ku apply defence mechanism (coping strategies)
Sanchez yuko vzr aisee
Iv utashindwa kupredict perfomance ya coutnho pale fcb?Anajipoza machungu huyu pia suala la usajili sio la kulopoka lopoka sijui wakiwa flop atafanyaje? Watu wapo kimya wanasubili waone vitu uwanjan haya ya hisia hayana maana kila mmoja hajui matokeo ya usajili wake sanchez na mkhitaryan tusubili tuone nani kafaidika kwa sasa ni ramli tu
Mpira na unafiki ni uji na mgonjwa kocha wako kwa nini alikuwa anamlazimisha kusain mkataba kama kawaida?Sawa,lakini bado sanchez ni wa kawaida sana tofaut na sifa anazopandikizwa nazo...kwangu hana utofaut na artulo vidal, pia sanchez alifaa sana acheze sita...
Iv utashindwa kupredict perfomance ya coutnho pale fcb?
Bad lucky zipo ila uwezo wa mtu unabaki palepale......hapa tubaki kwenye uwezo tu wa mchezaji na c vinginevyo...Dzeko alifeli man city leo anatakiwa na chelsea arjen rubben madrid to buyern ozil si mnae huko arsenal alietoka madrid au? Kama bora kwa nn aliachwa?