IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Kwa mwanaume hata km uwe strong vp .. Samani ya mkia wa nje ni kubwa.. Lazima utakustua...pia lazima utageuka kuangalia...wengine wanajifanya hawageuki hawana lolote moyo wao wote unawaza mkia tu...
Mkia wa ndani uwa haustui sana...km unabisha nenda kariakoo kwenye maduka ya urembo ukajionee mikia
Hatariiii
Mkia wa ndani uwa haustui sana...km unabisha nenda kariakoo kwenye maduka ya urembo ukajionee mikia
Hatariiii