Mkiacha urithi mkumbuke na ndugu zenu maana wanavyopambana kama wametafuta wao

Mkiacha urithi mkumbuke na ndugu zenu maana wanavyopambana kama wametafuta wao

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Zoezi la nduuugu wa marehemu kugombania mali limekua likiongezeka kila iitwapo leo

Ingawa asilimia chache hufanikiwa ila wengi huteseka sana amahakaman

Ushauri ukiona umeanza kuchoka wakumbuken na wadogo zenh maana mkifa wanakuja nammishale kama wametafuta wao na kufanya watoto kuteeeseka

Na makanisan hao mnaopokea masadaka makubwa kubwa na mazaka yao muwakumbushe kusaidia ndugu zao wakiwa hai

Wakifa vita inaamia kwa watoto inasikitisha sana kuona baba mdogo ama kina shangazi wanalilia viwanja vyaa nduguzao ..hatare lakini sanalama

Nawatakia kheri marehemu watarajiwa wote tuwe hai 2024 tuone uchaguzi wa 2025
 
mkuuu yaan mahakaman kuna vituko vingi sana tuko na kakesi kama 3 tuaanasimamia sehemu yaan ukiona ndugu anavyolalama kama amezaliwa na marehemu nimewaza hawa marehemu tutaanza kupeleka makanisan wakaombewe kabla ya kuzika nahisi wengine hawafi kwa mapenzi ya Mungu..yaan ukiwasikia mmoja nilikosa uvumilivu nkamwambia nawasiwasi umemuua mareehemu
 
Watu wamejichokea wanasubiri ndugu afe wakakimbilie mali, mtoto wa marehem wanamuona hastahili
 
Back
Top Bottom