Mkiambiwa CCM ni wahuni muwe mnaelewa, wanatuona watu wote ni wajinga

Hapo bado migao ya abduel ya miaka zaidi ya 4 na mafungu ya vyama vya briefcasini, pamoja na ile na makanisani na mom! No mana wanatuita kenge yani hawajali wala nini
 
Tangu lini CCM iliwatambua hasa Watanganyika kama ni Viumbe wenye akili? Wanatuona ni viumbe ambao tunaamini na kuheshimu kila ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…