ismail kibwana
Member
- May 4, 2024
- 5
- 11
Lini mnaenda kuvamia ofisi za na kuweka makufuli+ulinzi wenuMKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA
Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani
View attachment 3334373View attachment 3334374
Uko sahihiPicha za 2015 🐼😁
Hapo kalinganisha mafuriko ya lowasa picha ya kushoto na ya sasa picha ya kulia mwanza, mna propaganda za kijinga sana🚮Uko sahihi
Wana edit za 2015
Uwezo wao katika kuelewa ni kama umekufa kabisa. Kweli mtu akikuambia "una akili kama za CCM" nenda kafungue kesi ya Defamation uvute mpunga wa kutosha maana ukiifafanua vizuri hoja yako utashinda tuu.Hapo kalinganisha mafuriko ya lowasa picha ya kushoto na ya sasa picha ya kulia mwanza, mna propaganda za kijinga sana🚮
Dah hawa jamaa miaka ya nyuma walikua na watu angalau wenye hoja ila kwa sasa ni vilaza watupuUwezo wao katika kuelewa ni kama umekufa kabisa. Kweli mtu akikuambia "una akili kama za CCM" nenda kafungue kesi ya Defamation uvute mpunga wa kutosha maana ukiifafanua vizuri hoja yako utashinda tuu.
Kama Chadema imekufa yale mabomu polisi waliyokuwa wanavurumisha kuutawanya umati uliokuwa unamsindikiza Heche kule Musoma yalipigiwa mochwari? Tumia akili unapotaka kudanganya.MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA
Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani
View attachment 3334373View attachment 3334374
MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA
Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani
View attachment 3334373View attachment 3334374
Hawezi rudi huyo kiaziismail kibwana unatumia akili au kinyeo kufikiri
Hapo kalinganisha mafuriko ya lowasa picha ya kushoto na ya sasa picha ya kulia mwanza, mna propaganda za kijinga sana🚮
Na zile za 2015 Kikwete alikuwa anasema ni za Slaa za 2010...Ukiwa CCM wewe sema tu likutokePicha za 2015 🐼😁
Ndio nimeshakuelewesheni post ya heche kwa sababu huwa sijui mtoa mada alitumia kiungo gani kufukiriView attachment 3334420
Mafuriko yenyewe yako wapi hapa mkuu😀
Jipe moyo, umati unaonenaka kwenye operation ya no reform no election na ndio kwanza tuko May.,MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA