Mkiambiwa CHADEMA imekufa ndio huku sasa

Heche kasema kama kinakufa wacha kife yeye kesha kula mpunga wake.
Kwakweli timu Mbowe wanajilaumu sana kuwaachia hawa wavamizi kuja kukiuza chama!!!
 
2020 palikuwa na mafuriko leo ni 2025.

Mafuriko yawe katika kuchukua hatua sio kujaza uwanja jua lizame. Mikutano ya injili pia ina mafuriko. Eneo hilo hilo akija ccm naye anajaza. Mafuriko ni hadaa.
 
Ila CCM 🀣🀣🀣hiyo imewekwa kama comparison ya nyomi la lowasa kushoto na nyomi la heche kulia, mapang'ang'a kweli nyie!! Halafu si mlikua mnaimba mapambio enzi za jiwe kua CDM imekufa mara mpaka 2020 itakua imekufa? 🀣🀣🀣🀣 Jinga kbs!!
 
Picha huwa na maneno meeengi tu

Msikilize Kikwete hapo☝🏿🧐

Na zile za 2015 Kikwete alikuwa anasema ni za Slaa za 2010...Ukiwa CCM wewe sema tu likutoke
 
Picha imepigwa kimkakati Ili tuone ni nyomi
 
Mapimbi inakufa na mnaogopa kubadilisha sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…