Mkifungwa Jumapili Visingizio vifuatavyo hatuvitaki tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Tumewaachia ili msiparurane

2. Tumewaachia ili mjifariji

3. Tumeshakuwa Mabingwa kwa 90% hivyo hatutaki kutumia Nguvu Kubwa

4. Tumechezesha Kikosi cha Watoto

5. Uchovu umetugharimu

6. Wachezaji wetu wengi ni Waislamu na wako katika Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

7. Tumechoka Kuwafungeni hivyo tuliamua Kuwaachia ili nanyi mtufunge Safari hii mfurahie kwa Kutufunga Kwenu ndiyo Kombe lenu ila siyo hili la NBC Premier League.

Msipofungwa Jumapili nendeni mkatambike huko kwa Waganga wenu wa Kienyeji yule wa Morogoro ( Kilosa ) anayezicheza ( anayewarogeeni ) sana Mechi zenu za Ligi ( NBC ) na yule wa Kigoma ambaye huwa anazicheza ( anawarogeeni ) sana Mechi zenu za CAFCC.

Mnakufa Jumapili mtake msitake Ok?
 
Acha inyeshe, ili tujue panapovuja. Tarehe 16 sio mbali. Hakikisheni wachezaji wenu muhimu wote wapo.

Wapeni posho na bonas za kutosha, ili msije kusema wamehongwa
 
Mmeshaanza kuchachawa ukweli hamna timu ya kuifunga Yanga amini hilo
 
We jamaa tusikimbiane J2.
 
Na mkigongwa hizo sababu zitakua mali yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…