Wakuu, TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO ZA MFUMO WA USAJILI KWA NJIA YA MTANDAO (ORS) Dar es Salaam-19 Desemba, 2024 Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuutaarifu umma na wadau wake kuwa inatarajia kufanya maboresho ya miundombinu ya mfumo wake wa usajili kwa njia ya mtandao...