Mkikutana na JB mnaomba selfie, naye akikutana na Coutinho anabembeleza selfie

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kila star Ana star wake

Hapo ni JB Jacob Steven akiwa anafurahiii kukutana na coutinho,

Picha Nyingine ni FA na boateng

Mara nyingi anayecheka na kufurahi sana ndo anakuwa naomba selfie,

Pia anayemg'ang'ania mwenzake kwa mkono au kumbumbatia ndo kaomba hivo,

Tunataka wakati mwingine wakikutana nao wasionekane kuwapapatikia, inabidi coutinho aombe selfie na JB


 
hapo kwa JB lugha ipi ilitumika kuomba selfie
 
Hii Picture ya juu JB katufedheesha mashabiki wa Barca walai, khaaa!!!, bora Messi hajamkuta mana sijui hata ingekuwaje haki ya mungu!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…