Mkikutana na JB mnaomba selfie, naye akikutana na Coutinho anabembeleza selfie

Wakati mwingine hata ukitaka kujikubali namna gani...km sio famous wa dunia, bas ukikutana na famous wa dunia lazima ukalishwe
JB kuomba selfie over coutinho ni kitu cha kawaida tu na haina utata kutokana na utofaut wa level zao. Phil is the best over Jacob thou wapo field tofaut
 
Yaaan siku boateng akija bongo akaenda kwenye show ya fa yeye ndo ataomba selfie...kwakuwa yupo eneo lake la kujidai wacha aombwe selfie
 
Kuna moja ilikuwa airport hiyo hasheem thabeet kamuona Van persie afu anakumbaligi sana but akavimba na kukausha tu kigumu at the same time na yeye kwa vile ni tall akaonekana kirahisi...then abruptly Van Persie akamkimbilia hasheem na kuomba selfie maana ndio role model wake kwenye basketball.

Mapema jioni hiyo hiyo Hasheem anaona Van Persie kampost na caption murua sana...Ahahaha!!

watu wanatoka mbali kutoka maneromango hadi kukimbiliwa na Van persie?
 
Mimi hata nikae na Rihanna kwenye daladala ataambulia Salaam ya Kiswahili (Niambie) kisha naendelea na yangu.
 
Huyo dogo Boateng wa Levante yuko vizuri. Jana amewapiga Barcelona goli tatu na kuwa Man of the Match. Ni kipaji kinachoendelea kuimarika na kitakachouzika

Sorry siku hizi niko mbali kdg na mambo ya soka. Boateng hii ni ndugu na zile zingine mbili za Ujerumani/Ghana au ni majina tu?
 
Fa amejua kuchagua ila JB amechemka kuchagua bora hata angepiga picha na Dembele ingekuwa poa...Coutinho hakuonesha kabisa ushirikianao tofauti na Boateng.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…