Mkimaliza kukamata Vimini Msisahau kukamata na Vitambi

asubuhi sana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2015
Posts
1,667
Reaction score
1,411
[HASHTAG]#Jokes[/HASHTAG]

Mkimaliza kukamata Vimini msisahau kukamata Wanaume wenye Vitambi ...

Namuona lemutuz National ananiangalia kwa Jicho la Vibamia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umekosea, siku hizi wanawake ndiyo wanaongoza kuwa na vitambi yaani hata visichana vya miaka ya 12 kwenda juu ndiyo kabisaaaa.
 
Yaani siku hizi naishi nchini mwangu kama mkimbizi.

Siyo kuvaa

Kutembea

Kunyolewa
 
Duh,hii ndio tanzania maana nasikia now tumepangiwa mpaka vyakula,badala ya maharage kuna mbadala wake.
 
Ukiwa ccm raha husumbuliwi ,wale walifungiwa kwa kuvaa mavazi yasiona maadili lakini kuna alirecord video uchii mpaka Leo hajaitwa kuhojiwa.ile wizara ikidhubutu kimenuka
 
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] aisee Fanyeni Mazoez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…