MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Salama wandugu
Mama yupo mtaani akifungua baadhi ya miradi na kuona maendeleo ya nchi.
Sasa si vibaya sana tukapewa gharama yote ya mafuta ya msafara wake
Kupata gharama hizo tuweze kutoa ushauri magari yapunguzwe au yafungwe mifumo gesi asilia yote .
Haileti maana bei ya mafuta IPO juu lakini mama anazunguruka nchi nzima utafikiri magari yanatumia maji.