Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Haiwezi kutokea kwa maana muda wote alipokuwa akijiandaa kwa tukio hili alikuwa chini ya uangalizi wa kila aina ya diet, na alikuwa anakula, kunywa na kutibiwa na wataalamu maalumMkimbiaji kama huyu baadaye inakuja kuthibitika kuwa alikuwa anatumia dawa za kuongeza nguvu,itasikitisha sana
[emoji23][emoji23][emoji23] umewaza kama mimi ila niliamua kupotezeaMwamba ana miaka 34 ila kama mstaafu
Nadhani ni kwa sababu ya kufanya mazoezi sana...utadhani yuko over 45Mwamba ana miaka 34 ila kama mstaafu
kumbe mazoezi yanazeeshaNadhani ni kwa sababu ya kufanya mazoezi sana...utadhani yuko over 45
Mwamba ana miaka 34 ila kama mstaafu
Kwa mawazo yako ya uvivu wa kufikiriaNi wivu tu
Ha ha ha ha kama Casta SemenyaMabeberu yakiamua kukuchafua yanaweza kukusingizia yakakunyanganya medali zako zote.
Ungekuwa unafuatilia mashindano ya riadha,baiskeli asingekuwa na mawazo ya kivivu hiviAcha wivu