Mkiambiaji wa marathon wa Ethiopia aliyeonesha ishara ya kupinga unyanyasaji wa serikali vidi ya kabila la Oromo Hatimaye amechangiwa zaidi ya dola arobaini elfu kumuwezesha kupata hifadhi ya kisiasa nchi ya nje. Mwenyezi Mungu ambariki na wote wanaosimamia ukweli. Ethiopia 'hero' runner gets asylum donations after Oromo protest sign - BBC News