Au ndio yale yale... nakua inlove wote mwaona but I myself can not tell...lol... But on that basis nikijitazama na kujiuliza nakuta the person I have feelings for ndio hubby mwenyewe... inakuaje hapo? inakua nilimkubali tu then I fall in love ndani ya ndoa? lol
Lakini nnachojua kuvuana chupi ndo mpango mzima ati, kama ze feeling iz myucho na sichueshen is perfecto sioni sababu kwanini two adult beings wasile pipi ile yenye ladha tamu zaidi ya alfu, kisha kila mmoja akashika njia yake. Tabu tu inakuja kama mmoja anataka kujihifadhi long-term kwa mwenzie esp. mume wa mtu baada ya kuwa wamekula ile na pipi tamu na kung'amua utamu wake.Nikiwa kama mdada, kiumbe anayejulikana ni mume wa mtu sina muda nae kabisa&hujiepusha nao kabisa unless kanidanganya ambayo itakuwa ngumu maana mimi due diligence niifanyayo ni ya maana kabla sijawa kimapenzi na mtu.
Tatufa saizi yako, achana na kaka wa watu alee ndoa yake. Atakuzingua, akuvue chupi wewe ubaki na mawazo unampenda & anakupenda wakati yeye hayupo huko kabisaa. Zuia hiyo tamaa yako!
Imekaa vizuri kweli....maana hata mimi situation yangu iko kama ya kwako! Ila kinachoongewa hapa kipo maana hujafa hujaumbika! What if ukaenda hapa au pale ukakutana na mtu ukapigwa na "thunderbolt" ukabaki mdomo wazi????
Kwa moyo uliojaliwa na Mwenyezi Mungu kupenda... thunderbolts hutokea once in a while katika life time. However kwa mtu ambae yupo married ni rahisi saana to be short by the cupid in the heart simply because you and I know kua ukiwa ndani ya ndoa hata kama mwapendana vipi there comes a time wamuona mwenzio wa kawaida, mara kua na makwazo mara mrudi mapenzi mrama na the like.... sasa inapoteka wewe na mwenza mko katika stage ya kuonana wa kawaida. aissee... lazima damu ya roho ichemke ukitoka huko nje ukiendekeza ama usipokua makini.... sijui umenipata Ndahan? au ndio nimekupoteza kabisa? lol
Dada zangu itokeapo umempenda kijana nae ana mke, mnafanya nini?
Kupenda kunaanzia moyoni, na uelewe kupenda sio dhambi. Dhambi ni ile utakayoifanya baada ya kupenda. Hivyo kumpenda mume wa mtu sio dhambi na si vibaya. Pia si lazima ajue unampenda, inaweza kuishia moyoni mwako. Si kila binadahamu utakayempenda ni lazima uingie kwenye mapenzi naye. Ni vema tukajitahidi kupenda kimoyomoyo.. Ukilijua hili kupenda hakutakusumbua.
Kupenda kunaanzia moyoni, na uelewe kupenda sio dhambi. Dhambi ni ile utakayoifanya baada ya kupenda. Hivyo kumpenda mume wa mtu sio dhambi na si vibaya. Pia si lazima ajue unampenda, inaweza kuishia moyoni mwako. Si kila binadahamu utakayempenda ni lazima uingie kwenye mapenzi naye. Ni vema tukajitahidi kupenda kimoyomoyo.. Ukilijua hili kupenda hakutakusumbua.
Umenipoteza kabisa ingawa najaribu kurudi kwenye mstari...ndo maana najaribu kutofanya mambo kwa mazoea...am trying to be original in my doings all the time. Isipokuwa naona unakubaliana na mimi kwamba hujafa hujaumbika...there comes a time when a person need to be extra careful!!! Otherwise unaweza kujikuta unalala kwingine halafu unaamkia kwingine kabisa....yanatokea tunashuhudia so sio kitu ninachokiongea hewani...
Wanawake watu wa ajabu sana,
Kuna wengine hapa wanajidai kumshangaa kabisa mtoa mada, kutema mate na kumlaani halafu hapo wanatumia lap top waliopewa na mume wa mtu au wanaandika comment wamelala kifuani kwa kwa mume wa mwenzao au hapo yupo ndani ya upande aliopangiwa na mume wa mtu.
Ngekewa, all the best but remember to play by the rules.
Bana acha kutusingizia.... Have you read my posts? Nitakutoroshea valentine wako usipoangalia....