ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 Jun 3, 2011 #1 Namfuatilia Kipima Joto ITV. Hoja ya Tanesco kutotoa huduma japo wateja wapo tayari kulipia lakini umeme hakuna, sababu kibao.Huyu jamaa Mkinga staili yake ya kutoa hoja ni ya kizalendo haswa, anagenga hoja kwa hisia kali kuhusu Dowans na Richmond.
Namfuatilia Kipima Joto ITV. Hoja ya Tanesco kutotoa huduma japo wateja wapo tayari kulipia lakini umeme hakuna, sababu kibao.Huyu jamaa Mkinga staili yake ya kutoa hoja ni ya kizalendo haswa, anagenga hoja kwa hisia kali kuhusu Dowans na Richmond.