KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Waambie CHAWA wanaoanzisha nyuzi za kusifia humu JF kila siku kina CHOICE VARIABLE,LUCAS MWASHAMBWA, JIDULABAMBASI,KABENDE MSAKILA nk wachangishane wakakomboe maiti ya Mtoto wa miaka 5 iliyozuiliwa Muhimbili kisa inadaiwa 2,400,000Nchi hii imekuwa ya hovyo sana, huduma za afya na matibabu zimekuwa mbovuna duni kabisa.
Kila siku tunasikia sehemu mbalimbali watu wakifa kwa uzembe wa madaktari na manesi.
Mbaya zaidi mgonjwa akifa haraka haraka anakimbizwa mortuary ambako kama hamna mamilioni kadhaa, ndugu yenu atazìkwa na halmashauri, mazishi yasiyo na heshima wala staha wala stara.
With wangu kwa Watanzania wenzangu, mkiona mgonjwa wenu hana dalili za kupona hospitali, mrudisheni nyumbani kuepuka kadhia ya kudaiwa mamilioni mengi wakati wa kuchukua mwili wake.
Duuuh!! Mbaya sana hiiKuna Siku Nilikuwa Muhimbili pale wodi ya Mwaisela napiga michango nakuta Familia ya Kiarabu ya watu kama watatu wanalia,nikamdodosa mmoja akaniambia Shangazi Yao kafariki wanafanya process za kuchukua mwili,nikamuuliza amefariki lini?akajibu Leo wakati tunamleta kufika hapa kumbe alikuwa amefariki kwenye gari,wamefika pale Dr anawaambia mbona alishafarki!Wanataka kugeuka na Mwili wa Shangazi wanaambiwa hapana upelekwe Mochwari.Jamaa waling'ang'aniwa mpaka maiti ikapelekwa Mochwari Sasa msala kuitoa.
Nchi hii imekuwa ya hovyo sana, huduma za afya na matibabu zimekuwa mbovu na duni kabisa.
Kila siku tunasikia sehemu mbalimbali watu wakifa kwa uzembe wa madaktari na manesi.
Mbaya zaidi mgonjwa akifa haraka haraka anakimbizwa mortuary ambako kama hamna mamilioni kadhaa, ndugu yenu atazìkwa na halmashauri, mazishi yasiyo na heshima wala staha wala stara.
Huwa hatuamini kama atakata moto!
Wito wangu kwa Watanzania wenzangu, mkiona mgonjwa wenu hana dalili za kupona hospitali, mrudisheni nyumbani kuepuka kadhia ya kudaiwa mamilioni mengi wakati wa kuchukua mwili wake.
Mmoja toka Lindi alisusa,kamleta mkewe alipewa referral kuja pale mkewe kajifungua bahati Mbaya kaondoka,huku na huku Wanataka Mil 3 hiyo nauli ya kuja tu ndugu walimchangia kazunguka wiki mzima Kila ofisi wapi.Karudi temeke alikofikia kaweka Msiba siku tatu, baada ya hapo watu wakatawanyika arobaini Lindi.Ninyi na hiyo Mochwari yenu mtajijua.Ipo siku watu watakuja kususia miili ya waliofariki ikae huko huko mortuary ijazane sijui wataila nyama!!
Akili kubwa hiyo[emoji1787]maisha magumu bado ukamuliwe na Kodi ya Maiti kweli!!!hapanaMmoja toka Lindi alisusa,kamleta mkewe alipewa referral kuja pale mkewe kajifungua bahati Mbaya kaondoka,huku na huku Wanataka Mil 3 hiyo nauli ya kuja tu ndugu walimchangia kazunguka wiki mzima Kila ofisi wapi.Karudi temeke alikofikia kaweka Msiba siku tatu, baada ya hapo watu wakatawanyika arobaini Lindi.Ninyi na hiyo Mochwari yenu mtajijua.
Tena huko Lindi ndio wanachagua MATAGA sana ataenda kuwasimulia wenzake kilichomkuta hospitali DAR.Mmoja toka Lindi alisusa,kamleta mkewe alipewa referral kuja pale mkewe kajifungua bahati Mbaya kaondoka,huku na huku Wanataka Mil 3 hiyo nauli ya kuja tu ndugu walimchangia kazunguka wiki mzima Kila ofisi wapi.Karudi temeke alikofikia kaweka Msiba siku tatu, baada ya hapo watu wakatawanyika arobaini Lindi.Ninyi na hiyo Mochwari yenu mtajijua.