Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Serikali imeonywa mara nyingi kuhusu huyu Makonda kuwa mikono yake ni michafu kila atakalo gusa linakosa Baraka ila inadharau.
TFF nayo ikaingia mkenge, sasa ni wakati wa mavuno acha tuvune mabuwa tukiwa na maumivu makali moyoni sababu ya kubeba gunia hilo la misumari