Nimelisema hilo mara nyingi hapa jukwaani, Bashite ni failure in every aspect, chochote agusacho ni failureSerikali imeonywa mara nyingi kuhusu huyu Makonda kuwa mikono yake ni michafu kila atakalo gusa linakosa Baraka ila inadharau.
TFF nayo ikaingia mkenge, sasa ni wakati wa mavuno acha tuvune mabuwa tukiwa na maumivu makali moyoni sababu ya kubeba gunia hilo la misumari
Serikali imeonywa mara nyingi kuhusu huyu Makonda kuwa mikono yake ni michafu kila atakalo gusa linakosa Baraka ila inadharau.
TFF nayo ikaingia mkenge, sasa ni wakati wa mavuno acha tuvune mabuwa tukiwa na maumivu makali moyoni sababu ya kubeba gunia hilo la misumari
Fact.. Kweli tupu Mkuu.Kupewa na kusimamia majukumu ya uovu - kuteka, kushambulia na kupoteza, kamwe hatakuja kufanikiwa kwa lolote. Damu za wasio na hatia huleta laana.
Umeona eeehhh!!!Maumivu unayo wewe
Watanzania wengi tulikua harambee stars leo
Jamani
Amkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha
Ni kweli kabisa , ...Starz ni CCM isiyo na polisi. Haiwezi shinda!
makonda wa sasa ni kama mm nlivyokuwa wakati niko secondarySerikali imeonywa mara nyingi kuhusu huyu Makonda kuwa mikono yake ni michafu kila atakalo gusa linakosa Baraka ila inadharau.
TFF nayo ikaingia mkenge, sasa ni wakati wa mavuno acha tuvune mabuwa tukiwa na maumivu makali moyoni sababu ya kubeba gunia hilo la misumari
https://www.facebook.com/video.php?v=1685756668235772Serikali imeonywa mara nyingi kuhusu huyu Makonda kuwa mikono yake ni michafu kila atakalo gusa linakosa Baraka ila inadharau.
TFF nayo ikaingia mkenge, sasa ni wakati wa mavuno acha tuvune mabuwa tukiwa na maumivu makali moyoni sababu ya kubeba gunia hilo la misumari