Mkipotelewa na funguo za pikipiki huwa mnafanyaje?

V Chief

Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
78
Reaction score
145
Leo nimepotelewa na funguo za pikipiki na nilikuwa nao mmoja tu sasa naomba wana JF mnisaidie mbinu mnazozitumia ili kuendelea kutumia chombo hicho cha usafiri
 
Nenda kachonge, ni Afu tano tu.
 
Back
Top Bottom