MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mwaka jana... hakuna Corona kwa sababu ya maombi ..... mwaka huu tuchanjwe Corona IPO? Nyie mabishaMachogo yapo bara!
6. Muhubirini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Vitendo na siyo maneno matupu
Na chogo kubwa kuliko yote alikuwa Kayafa Mwendakuzimu.Machogo yapo bara!
Tupige kura za kutosha tuwatoe lakini kwa yale matapeli yanayo jibanza ughaibuni endeleeni na dozi!Mwaka jana... hakuna Corona kwa sababu ya maombi ..... mwaka huu tuchanjwe Corona IPO? Nyie mabisha
Tupige kura za kutosha tuwatoe lakini kwa yale matapeli yanayo jibanza ughaibuni endeleeni na dozi!
Generali Ulimwengu si wakupuuzwa na sili zote za serikali anayajua kiundani,hivo wale wasemao kuwa sio mtanzania Ni wale wa kuunga mkono hoja(bendera fuata upepo)Kwa tume hii aliyoiacha jiwe?
Wafuate na kuitii katiba na sheria za nchi. Covid 19 sio wabunge halali. Bunge la mazuzu.1. Msiwe Mazuzu ( Majuha )
2. Acheni Vitisho na Ubabe
3. Tubuni Dhambi zenu nyingi kwa Mola
4. Acheni kuwa Wanafiki Waandamizi
5. Tambueni ufahamu mkubwa wa Watanzania wa leo
6. Muhubirini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Vitendo na siyo maneno matupu
7. Jibiidisheni sana Kusoma Machapisho mbalimbali ili kuongeza ufahamu wenu mdogo ulioishia tu kuijua Bahari ya Hindi, Mazingira yake pamoja na Muungano wa wenye Visogo ( Vichogo ) na wale wasiokuwa navyo.
Ndugai ndio anatia aibu kabisa1. Msiwe Mazuzu ( Majuha )
2. Acheni Vitisho na Ubabe
3. Tubuni Dhambi zenu nyingi kwa Mola
4. Acheni kuwa Wanafiki Waandamizi
5. Tambueni ufahamu mkubwa wa Watanzania wa leo
6. Muhubirini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Vitendo na siyo maneno matupu
7. Jibiidisheni sana Kusoma Machapisho mbalimbali ili kuongeza ufahamu wenu mdogo ulioishia tu kuijua Bahari ya Hindi, Mazingira yake pamoja na Muungano wa wenye Visogo ( Vichogo ) na wale wasiokuwa navyo.
Mwanadmu ana ridhika sana tu!.... ila hadhira ndo ina dhana dhanifu na potofu ya ya kuto ridhika kwa Mwanadamu! na hii haiepukiki!! mifano ipo miiingi sana!Hata ufanye ayo yote bado ataendelea kukosoa maana binadamu hajawahi LIZIKA
Foolish.Ahubiriwe kwani yeye kawa Mungu??
Hasa hiyo namba moja1. Msiwe Mazuzu ( Majuha )
2. Acheni Vitisho na Ubabe
3. Tubuni Dhambi zenu nyingi kwa Mola
4. Acheni kuwa Wanafiki Waandamizi
5. Tambueni ufahamu mkubwa wa Watanzania wa leo
6. Muhubirini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Vitendo na siyo maneno matupu
7. Jibiidisheni sana Kusoma Machapisho mbalimbali ili kuongeza ufahamu wenu mdogo ulioishia tu kuijua Bahari ya Hindi, Mazingira yake pamoja na Muungano wa wenye Visogo ( Vichogo ) na wale wasiokuwa navyo.
Foolish.
wakiyafanya haya namimi nitawaunga mkono.1. Msiwe Mazuzu ( Majuha )
2. Acheni Vitisho na Ubabe
3. Tubuni Dhambi zenu nyingi kwa Mola
4. Acheni kuwa Wanafiki Waandamizi
5. Tambueni ufahamu mkubwa wa Watanzania wa leo
6. Muhubirini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Vitendo na siyo maneno matupu
7. Jibiidisheni sana Kusoma Machapisho mbalimbali ili kuongeza ufahamu wenu mdogo ulioishia tu kuijua Bahari ya Hindi, Mazingira yake pamoja na Muungano wa wenye Visogo ( Vichogo ) na wale wasiokuwa navyo.
Makonda yuko wapi mpendwa wenu na Sabaya. Nyie matapeli hamuaminiki tenaTupige kura za kutosha tuwatoe lakini kwa yale matapeli yanayo jibanza ughaibuni endeleeni na dozi!