GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tak.atakaNa kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina Kiherehere sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa' kama 'Kuku' na Kujuta kwani kwa saaa hakuna Majeshi imara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama ya Rwanda ( RDF ) kwa Kagame na Uganda ( UPDF ) kwa Museveni.
Nimeshawatahadharisha shauri zenu.Sawa
Najua Sindano imeshaingia Mfupani tayari.Tak.ataka
Toa ushahidi wa madai yako kiongozi, other wise itabaki kuwa ni dhana, na dhana haileti haki wala ukweli halisi wa jambo. Toa ushahidi juu ya ulichokisemaNa kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa' kama 'Kuku' na Kujuta kwani kwa saaa hakuna Majeshi imara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama ya Rwanda ( RDF ) kwa Kagame na Uganda ( UPDF ) kwa Museveni.
Uoga wako tu PopomaNa kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa' kama 'Kuku' na Kujuta kwani kwa saaa hakuna Majeshi imara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama ya Rwanda ( RDF ) kwa Kagame na Uganda ( UPDF ) kwa Museveni.
naeza kupata kitu kipya ktk huu uzi..nasoma maoniToa ushahidi wa madai yako kiongozi, other wise itabaki kuwa ni dhana, na dhana haileti haki wala ukweli halisi wa jambo. Toa ushahidi juu ya ulichokisema
Kichaa sio lazima aokote makopoNimeshawatahadharisha shauri zenu.
Huyo ni mgonjwa wetu hapa Milembe alitoroka tokea Julai 2013!Madaktari mpo wapi?
HangoverNa kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa' kama 'Kuku' na Kujuta kwani kwa saaa hakuna Majeshi imara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama ya Rwanda ( RDF ) kwa Kagame na Uganda ( UPDF ) kwa Museveni.
Kweli majeshi ya nchi uliyotaja ndiyo imara?Nchi gani inapeleka msaada kwa whiyo nchi uliyotaja?Na kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa' kama 'Kuku' na Kujuta kwani kwa saaa hakuna Majeshi imara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama ya Rwanda ( RDF ) kwa Kagame na Uganda ( UPDF ) kwa Museveni.