Mkitaka kufurahia, kuepuka kuuana na kupendana kwa dhati msiwape hela

Mkitaka kufurahia, kuepuka kuuana na kupendana kwa dhati msiwape hela

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Nlianza na huu utaratibu baada ya kugundua kumbe tunapofanya mapenzi na mademu nao wanasikia utamu sana tu.

Miaka ya nyuma nlidhani ni sisi tu wanaume...nlipoanza kugegedana na nikapata uzoefu nligundua wote tunapata utamu. Nliona wakati mwingine baby anadai kabisa kuwa ana wazungu wanamwasha...anataka tiba. Nikasema ooooh.....kumbe.

Basi nami nikaanza sometimes nasema sina pesa ya lodge. Demu anatoa tunaenda tunapata raha tunaagana kwa amani,upendo na mshikamano.

Ikawa akitokea demu anaanza mizinga akinambia babe nina shida na tsh 100,000 natafuta hiyo pesa namtumia mama. Basi hapo najisikia faraja. Ndiyo.... Habari za kutaka eti tukishagegedana tuka enjoy nikulipe hazipo kwangu.

Akitokea tena mwingine anasema sijui kapoteza kitini cha mtu anatakiwa alipe tsh 30,000 natafuta namtumia mama.nafarijika moyoni.

Mwingine unakuta anasema amepata changamoto... Anatakiwa alipe ada chuo na mzee wake katuma ila imepungua tsh 200,000. Natafuta nitakayopata namtumia mama. Nafarijika moyoni.

Sasa huu ndo Muswada nlioona niweze share na vidume ambao pia nao huwapa raha mabint. Nyie ambao hamwezi toa raha endeeleni tu kuwanyima pesa wazazi wenu ila mnahonga mabint. Baadaye sisi tukitembea nao mnajinyonga au kuwaua kwa hasira.

Mimi siwezi fanya hayo... Tuwe pamoja kwa AMANI,UPENDO NA MSHIKAMANO. kama ninacho na unahitaji msaada original as a friend nitakupa ila si kwa sababu tu Eti unanipa Pango Unyevu nijisitiri humo. Kwani unauza? Nijue moja tu.

Wabillah Tawfiq.
 
Nlianza na huu utaratibu baada ya kugundua kumbe tunapofanya mapenzi na mademu nao wanasikia utamu sana tu.

Miaka ya nyuma nlidhani ni sisi tu wanaume...nlipoanza kugegedana na nikapata uzoefu nligundua wote tunapata utamu. Nliona wakati mwingine baby anadai kabisa kuwa ana wazungu wanamwasha...anataka tiba. Nikasema ooooh.....kumbe.
Du
 
Individual perception
Nlianza na huu utaratibu baada ya kugundua kumbe tunapofanya mapenzi na mademu nao wanasikia utamu sana tu.

Miaka ya nyuma nlidhani ni sisi tu wanaume...nlipoanza kugegedana na nikapata uzoefu nligundua wote tunapata utamu.
 
Hongera kwa.msimamo mkali wa kitaliban. Nami nitakopi na kupesti.
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom