M'kiti wa freemasonry akihojiwa na Gerald Hando wa clouds TV asema kuwa freemason hamna ubaya na hamna mahela km wengi wanavyodhani bali it's all about networking na kusaidia jamii.Kaipamba freemasonry vibaya sana na kukaribisha watu wajiunge. Ama dunia imeisha, yani mambo hadharani!

OK...
Nikuulize swali la msingi...
Kama Mwenyekiti wa Freemason Afrika Mashariki amesema kuwa wao hawana ubaya wowote...sasa nakuomba wewe mleta mada uweke ushahidi kamili kuwa hawa jamaa ni wabaya.
Naomba uweke ubaya wao hapa ambao utaambatana na uthibitisho.
Hayo mambo ya kuja kutiatia huruma hapa na kuhitaji huruma za wenzako mnaosoma magazeti ya marangi rangi mwisho uwe leo.
Haya funguka sasa....
Mmh...uku tunako kwenda sasa ni hatari.
Hawa jamaa wamepata promo kubwa mwaka huu kila mtu anaimba freemason freemason hadi bibi yangu kijijini amenisihi nisijiunge fremason.NILICHEKA SANA.
Hata shetani anaweza kukuambia kuwa yeye ni mfalme wa amani; sasa funguka angalia matendo yake! Utajuta kuzaliwa!
Hata shetani anaweza kukuambia kuwa yeye ni mfalme wa amani; sasa funguka angalia matendo yake! Utajuta kuzaliwa!
Leteni ubaya au matendo ya kudhihirisha ushetani wa Freemason, hatutaki theory hapa!
Word! Waambie hao, kila mtu anatoa madai yake kuhusu watu hawa lakini hakuna mtu aliyewahi kuleta ushahidi.
sawa, na we kama kweli unawafaham freemasons, hebu nambie kwann wanasema 'once ur a freemason ur a freemason'
kuna nn hapo?
Mbona kuna watu wana badili dini bwana!