GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo kwamba kama unataka Kusema au Kumsifia Mtu au Mnyama fulani kuwa haogopi chochote kile au lolote lile hapa duniani basi kwa kile Kiswahili chenyewe na cha Kitaalam kabisa neno sahihi kutumika ni ' Nyegere ' na si mengineyo.
Kwa Mfano ukitaka kusema kwamba GENTAMYCINE haogopi wala hatishiki basi unatakiwa kusema GENTAMYCINE ni bonge la ' Nyegere ' lililotukuka au ukitaka kusema kwamba Mnyama Simba haogopi na hatishiki basi unatakiwa kusema Mnyama Simba ni ' Nyegere ' mno kuliko Wanyama wengine wote.
Je na Wewe ' Member ' wa JamiiForums popote pale ulipo na Wewe ni Nyegere?
Nawasilisha.