Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Acha niweke wazi hapa mwanzo kabisa kuwa binafsi siungi mkono mfumo wa chama kimoja hapa taifani.
Haya turudi kwenye uzi.
Kwa watu au taifa la watu wenye akili mfumo wa chama kimoja ni moja ya mfumo mzuri na bora sana katika kutawala na kuleta maendeleo na kuimarisha umoja.
Hii nafasi wanayo pata CCM Tanzania toka uhuru wanashindwa kabisa kutumia vyema kutokana kana na kukosekana kwa watu wenye akili.
Kwa mataifa yaliyo na akili yaliyo bahati kuwa na mfumo wa chama kimoja au mfanano wa utawala wa hapa nchini wananufahika sana na maendeleo ya kasi na utekelezaji wa uhakika wa mipango na dira ya maendeleo ya taifa katika muda sahihi pasipo makando kando mengi yasiyo na tija.
China, Vietnam, Singapore wana nufahaika sana na hali hii.
Kidogo demokrasia inachangamoto zake nyingi sana katika kukimbizana na maendeleo hasa kama mpo nyuma.
Moja ya mambo wahindi wengi huko India wanalalama ukilinganisha na jirani zao China ni makando kando mengi ya kidemokrasia yalipo ndani ya nchi yao hasa katika mchakato wa maendeleo inawaweka nyuma sana tofauti na jirani zao China makando kando mengi kama haya hawana kabisa wao wakikubaliana jambo kinacho fuata ni utekelezaji wa kasi ya ajabu huku India kwao makando kando muda wote.
Sasa inapotokea unapata fursa kama taifa kuwa na mfumo kama huu hapa nchini hii ni faida tosha kama kungekuwa na watu wenye akili mfano tazama bunge la sasa limejaa wana CCM kama wangekuwa na akili ilipaswa hii awamu iweke mipango kabambe ya maendeleo na utekelezaji wa kasi ingekuwa inaendelea ila kinyume chake hali ni tofauti.
Wachina wana hii kitu ya kuitwa Five Year Plans inafanikiwa sana kwa sababu hawana makando kando mengi tofauti na kungekuwa na utofauti na vyama vingi vinavyokinzana kisera muda wote.
CCM wanashindwa kutumia hii Golden Chance kutokana na kukosekana kwa watu wenye akili kati yao.