Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Leo mitandao ya Facebook, Instagram, Twitter, na YouTube imechafuliwa na Media ndogo na kubwa hii yote kuzungumzia Msanii Maarufu zaidi hapa Duniani Rihanna kumufuata Mwanamitindo Mbongo na Mzaliwa wa Shinyanga Flaviana matata. Leo Rihanna katika mtandao wa Instagram amemfollow Flavianamatata. Rihanna katika mtandao huo anatumia jina la Badgalriri.
Hivyo nataka kuwakumbusha kuwa hilo si swala la kustaajabisha mimi nataka niwakumbushe kuwa Mwaka huu Mwezi wa Tisa mchezaji wa mieleka John Cena naye alimufollow Msanii kutoka tanzania Ebebe Jamal katika mtandao wa Twitter anayefahamika kwa mtindo wa uimbaji wa Zzung.
Najua pengine utashangaa kuwa Ebebe Jamal ni nani? Ndio kama umeshangaa basi tambua hivyo kuwa Msanii huyo mchanga ambaye hata wabongo wenzake hatumutambui basi jua kabisa anatambulika hata nje.
Hivyo hizi media zisituchanganye na Rihanna kumfollow flavianamatata Ambaye ni mtu Maarufu tayari bali media zingekazia kwa John Cena kumfollow Ebebe Jamal ambaye ni mtu hajapata umaarufu bado.