Mkuu mi napenda kuzalisha, shughuli kama kilimo na ufugaji ndo napenda. target yangu nianzie from zero lakini naangalia uwezekano wa kutanuka zaidi kuelekea kwenye shughuli kubwa za kuzalishaNaisi,,,,kwa dsm hapo ndo penyewe huku mkoani ....tatizo mpaka uwe na connection.... na wenyeji...lakin dar iyo laki1 ukiweza kuwa unapoint nguo za mtumba zile Kali unakuwa unaweza kuuza nakusavaivu
Mwanza,Arusha, na baadhi ya mijiukiacha dar ni mkoa gani wenye msongamano
Naomba mchanganuo kidogo boss, kwa undani kidogoJikusanye uje kusini..mtwara...lindi..ruvuma..ukiwekeza kwenye nafaka muda si mrefu utausahau umaskini...
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
biashara gani ndogo za haraka naweza fanya mkuu, iwe yoyote ileKahama panatakufaa zaidi sababu kuna watu wengi pia maisha ya kahama yako chini sana kuanzia vyakula na mambo mengine.
Pia Babati manyara ni sehemu nzuri pia .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu aliniambia Chato is a new Dar Es SalaamBaada ya kufanya kazi ya huduma kwa wateja vodacom, kwa zaidi ya mwaka mmoja chini ya kampuni ya outsourcing.
Nimeacha kazi baada ya kuona sisogei kimaendeleo licha ya kujinyima sana na kutumia njia nyingi kujaribu kuweka akiba lakini inashindikana kwa sababu mshahara ni mdogo sana na tayari nina majukumu ya kulea mtoto.
Mshahara ni laki mbili gross, ikikatwa makato mengine ni kupokea laki na sabini na vichenji.
Naomba ushauri ni mkoa gani naweza kwenda kuanza maisha chini kabisa na shughuli gani naweza fanya kwa mtaji mdogo kuanzia laki moja na ikafanikiwa kukua. Mkoa iwe nje ya dar es salaam.
Nenda mikoa ya Nyanda za Juu KusiniBaada ya kufanya kazi ya huduma kwa wateja vodacom, kwa zaidi ya mwaka mmoja chini ya kampuni ya outsourcing.