Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,208
mkuu mi napenda kuzalisha, shughuli km kilimo na ufugaji ndo napenda. target yangu nianzie from zero lakini naangalia uwezekano wa kutanuka zaidi kuelekea kwenye shughuli kubwa za kuzalisha
Karibu iringa ukamate heka zako tatu ulime mahindi ya kuchoma, kila heka utapiga milioni mbili na itachukua miezi 4 mchakato wote kukamilika
Sent using Jamii Forums mobile app
kigoma? Atafanya nini huko
1. Kahama
2. Njombe
3. Makambako
4. Kigoma
5. Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu iringa ukamate heka zako tatu ulime mahindi ya kuchoma, kila heka utapiga milioni mbili na itachukua miezi 4 mchakato wote kukamilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kalenga,mkoga,mangalali kiwele kuna scheme ya umwagiliaji mashamba kukodi ni elfu 80 mpaka laki mbili kutegemeana na umekujajeIringa sehemu gani kunapatikana mashamba ya kulima mahindi ya kuchoma?
Tupe madini mzee
Hapo Singida waarabu wanakaa wapi?,nimeenda kama mara mbili town pale hao sijawaona uliowaita "koko".Maeneo niliyoenda ni "ubungo" stand ile mpya, mitaa ilipo nmb bank na kule nbc,uwanja wa namfua kwa harakaNenda Singida mkuu unaweza ukakosa pesa lkn ukafanikiwa kuoa toto la kiarabu lkn waarabu koko
Sent using IPhone X
😂😂 ndio yakoje hayo,yani yanakuwa yameshachomwa shambani tayari?Angesema mahindi mabichi atleastIringa sehemu gani kunapatikana mashamba ya kulima mahindi ya kuchoma?
Tupe madini mzee
Kilimo cha makaratasi kalime uoneKaribu iringa ukamate heka zako tatu ulime mahindi ya kuchoma, kila heka utapiga milioni mbili na itachukua miezi 4 mchakato wote kukamilika
Sent using Jamii Forums mobile app