Mkoa au Wilaya gani naweza kwenda kuanza maisha kutoka chini kabisa (from zero)?

Eeh bwana kuna ishu gani huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona kama unadanganya ivi au elimu yako ndo tatizo?
Customer care Voda wananza na salary ya 416k as gross ukipigwa makato unaondoka na 350k
Pcci tigo customer care wanatoa mshahara wa 400k wakiga makato unaondoka na 342k
Apo haujapewa bonus yoyote ukiperfom vzr kuna bonus pia
Halotel na Airtel pia mishahara ina range apo apo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nenda Singida mkuu unaweza ukakosa pesa lkn ukafanikiwa kuoa toto la kiarabu lkn waarabu koko


Sent using IPhone X

Ahahaaa....hv hao waarabu koko wapo singida au taboraa,nataka nipate ata mmoja tu Ila ntakapo kuwa na pesa za ziada
 
...Kama una nguvu karbu moro kilimo ndo uti wetu wa mgongo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…