Nenda kwa Mzee Kikwete, Msoga, anaweza kukupatia.Habari zenu wana hili jukwaa? Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Una offer ya shillingi ngapi kwa Lita?Habari zenu wana hili jukwaa? Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema karibu na darNenda SIMIYU, ngombe wa kienyeji na maziwa halisi, toa bei nzuri tu acha magumashi, lita TZS2000/- no water or anything added
Habari zenu wana hili jukwaa? Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko mkata ninaweza kukuletea lt 100 kupitia mabasi ya HajeesNimekupatiaa maziwa Kibaha, Picha ya ndege. Lita shillingi 2,000/= kama upo tayari sema. Unataka kwa muda gani?
Nenda kwa Mzee Kikwete, Msoga, anaweza kukupatia.
Njoo tukuyuHabari zenu wana hili jukwaa? Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukuyu lita 1000 Tsh tuHabari zenu wana hili jukwaa? Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Atleast mara moja au mbili kwa kila wikiYaani utakua mteja permanent au ukishachukua hizo Lita 500 ndo basi?
Thankschalinze ndani ndani kuna wamasai wanauza bei rahisi na mazuri.patakufaa maana karibu