ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Lindi na mtwara
Bila kusahau mawese na migebuka.Kigoma variety tele pia AK 47 zinapatikana.
Ushajua utapangiwa mko upi mangi kikazi?Wadau wa MMU,naomba kuuliza,ivi hapa tanzania ni mkoa gani mzuri ambao atleast life liko cheap,ambapo mtu anae anza maisha let say na salary ya kuanzia 400k-600k anaweza kusurvive?
Siwez comment unless umeweka hadharani vitu ambavyo unataka viwepo uko unakotaka uende kuishi!
Is it cost of living,cost of living,good infrastructures,starehe kwa wingi etc
Naskia Hungumalwa bado mnajua nyerere ndo mkuu wa nchi. Nina shangazi yangu huko ame re-seat mtihani wa la saba mara 16 mpaka amepita kwa huruma ya baraza.
Bila kusahau mawese na migebuka.