Mkoa gani una ongoza kwa kua na watu washamba dunia nzima

Mayor of kingstown

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,898
Reaction score
4,156
Mimi binafsi naanza na dar es salaam ...

awa watu ujifanya wajanja sana but ki reality ni washamba sana kila kitu wana vunga wanajua ....[emoji41]bila kujua si wa mikoani uwa tuna wakaushia

Sasa ni iviii ujanja wenu unapo ishia ndio sisi unapo anzia

ROCK CITY BOY[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Wasukuma ili jiji la mchakamchaka sio mwanza hii
 
Ole wake mtu ataje kabila langu nawaambia atapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…