Hii ya kwako ni too muchMkoa wa Karagwe. Unamwaga tu mbegu chini. Unasubiri mavuno
Nishajua lengo lakoMkoa wa Karagwe. Unamwaga tu mbegu chini. Unasubiri mavuno
Lengo gani hilo?Nishajua lengo lako
Labda mbeya lakini Kagera unamdanganya!!! mashamba yanamilikiwa kiukoo kama kwa wachagga!! atapata wapi shamba la kukodi!!!?????Kagera,mbeya nk
Alafu kingine anatakiwa ajue ya kwamba sehemu yenye rutuba hakuna Soko la mazao. Labda kama ana target ya kupeleka mjini DSM, Mwanza, Zanzibar, arusha na sehemu ya majiji na sio uku kwy rutuba hakuna wanunuzi na wanunuzi ni choka mbayaNdugu,kilimo ni sayansi. Kabla ya kuchagua ni Mkoa gani unafaa yakupasa ujue lengo LA KULIMA mazao hayo Ni nini? Wateja wako ni akina Nani? Miundo mbinu ikoje? Gharama za uzalishaji ziko vipi? Mahitaji ya kilimo eg mbegu,mbolea,viuadudu,ardhi,utaalamu nk.