Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Mbali ya kua mdau wa afya mwandamizii senior 😊 ila najuaWadau, tunaomba kujua ni Mikoa ipi Inaongoza Kwa Mbu wengi TANZANIA. Mtu wangu wa Karibu AMECHOKA na MBU WA DAR, anataka Kuhama, sasa ili asije ruka Mkojo akakanyaga mavi, hebu changia Mikoa Mitatu hadi Mitano ili aiepuke.
Asanteni wadau.
Sikuwa nafahamu hili. Kwanini wasifanye hivyo nchi nzima?Kuna dawa iliwekwa huko ambayo inatumika marekani na uingereza ya kutokomeza mbu kabisa jiji zima.
Aseeeh Umetisha😂Muulize min -me mimi wa kwenu...😃😃
Mkoa wa bukoba??Mkoa wa Bukoba una mbu wanauma kama umbwa.
Hahahaaa 😂😂😂😂Njombe mbu walipiga hesabu wakasema wahame wasije kufa na baridi wakahamia mafinga mbu kufika mafinga wakasema mbona balaaa lile lile wakasema wakajaribu kuishi mbeya nako baridi kali ,,,,,baridi kali linaua mbu pamoja na mayai ya mbu
Kikao kikuu kikafanyika cha mbu wa nyanda za juu kusini ... rais wa mbu akasema mikoa hiyo ni marufuku kwa mbu yeyote kukaa awe anofelex au mbu wa kawaida na jeshi la polisi la mbu litawachukulia hatua mbu yeyote atae kiuka agizo hilo na raisi akasema mbu wote wahamie dar es salaam maana damu za dar ni tamu za moto zimejaa chips mayai tu na alkasusu
Kuanzia hapo mikoa nyanda za juu kusini hiyo haina mbu bahati mbaya ukimkuta mbu nae anatetemeka baridi kachoka balaaa amekosa tu nauli ya kuja dar ila huko mbu sio kwakoView attachment 3448877
Morogoro mbwa wake wakubwa kama nyukiMorogoro ina mbu wakubwa nakijua nimetumiwa misukule usiku ininyonye damu
Niliteseka sana nikiwa sua
Kweli ifakara kuna mbu mpaka wanafugaSehemu yoyote ambako mpunga unalimwa.
Ongezea na Dar
Ndio karibu na mkoa wa KageraMkoa wa bukoba??
Hivi pale panapoitwa MTO WA MBU, ilikuwaje pakapewa jina hilo..!!??Mikoa yenye baridi yote unayoijua
Dar, Mtwara, Lindi, Morogoro, Katavi, Tanga na Pwani hakuna mkoa mwingine wenye mbu kuzidi hiyo.Wadau, tunaomba kujua ni Mikoa ipi Inaongoza Kwa Mbu wengi TANZANIA. Mtu wangu wa Karibu AMECHOKA na MBU WA DAR, anataka Kuhama, sasa ili asije ruka Mkojo akakanyaga mavi, hebu changia Mikoa Mitatu hadi Mitano ili aiepuke.
Asanteni wadau.
Mbu wanaishi kwenye jotoMikoa yenye baridi yote unayoijua
Nakuelewa mkuu Mimi nimempa option ya mikoa isiyo na mbu sio yenye mbuMbu wanaishi kwenye joto
What did I miss ?Mkoa wa bukoba??