Kila kitu ni connection, ni mkoa ambao jiographia yake ipo kinyume sana na mkoa tukutu sina hakika vipaumbele vyake nini? Mfano kuna mtu anaitwa kaponda amejaza mademu zake kuwa kuwa wakuuu wa shule na maafisa taaaluma. Kuna jamaaa mmoja anaitwa kafulila alikuja kufanya kazi mkoaaa huuu kama katibu tawala akawatoa watumishi fulani walikuwa NGO fulani kisha akajaza watu wake, mfano wa kweli sasa hivi wamepata kafungu fulani halmashahuri yuko anawaahamisha wakuu wa shule za msingi kisa tuuu kuna hela, hizo pesa zingepelekwa sehemu yenye uhitaji pesa hizo zikatumika. Kuna majaamaaa wana ukimwi wanausambaza vibaya kwa wafanyakazi wanaoitaji vyeo.mfano mfanyakazi jina X wa wilaya songwe tayari bilameshaambukizwa vvu na wiki tatu zilizopita alikuwa azikwe.
Upande wa afya ndo usiseme bila kugawa nyapu mambo hayaendi. Watu waaache nepotism kuwanyanyasa wengine. pia mkuuu wa mkoa nadhani hajui anachosimamia
Upande wa afya ndo usiseme bila kugawa nyapu mambo hayaendi. Watu waaache nepotism kuwanyanyasa wengine. pia mkuuu wa mkoa nadhani hajui anachosimamia