hakuna hilo ni lazima utakuwa umekubaliwa huo msaada na serikali na wizara husika pamoja na wizara ya mambo ya nje
mambo ya chamazi hayoo mkuu! barabara kutoka banana hadi chamazi wakati serikali kuu haina habari? eti mradi wa wachina?
Jordan rugimbana wanasema anaufahamu, na uvikiuta weshauza eneo lao siku nyingi? Mbunge wa kigambon, faustin hana habari