Mkoa wa Dar es Salaam ndio Inaongoza kwa kilimo cha umwagiliaji uwiano wa eneo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Unaweza kushangaa ila huo ndio uhalisia.

Mkoa wa DSM ndio unaongoza Tanzania Kwa Kilimo Cha Umwagiliaji Cha mazao mbalimbali ukifuatiwa na Mbeya, Kilimanjaro na Iringa..

=========

10 regions that have more than 3% of irrigated area in Tanzania

Citizen.jpg
 
Naoma taarifa umeitafsiri ndivyo sivyo.

Ni asilimia ya umwagiliaji kulinganisha na eneo zima la mkoa husika.

Mathalani, kwa Dar es Salaam yenye ukubwa wa Kilomita za Mraba 1,393. Maana yake asilimia 20 ya eneo lote ndilo la umwagiliaji. Ambapo kwa mantiki husika ni kilomita za Mraba 288.31 pekee.

Wakati Mkoa wa Mbeya wenye kilomita za Mraba 35,954 eneo linalotumika kwa umwagiliaji ni asilimia 16.4. Hivyo eneo hilo ni kilomita za Mraba 5,896.5

Huwezi ukasema Dar inaongoza kwa umwagiliaji kwa kuangalia asilimia ya eneo linalotumika. Kwa sababu Dar ina kaeneo dogo kijiografia kulinganisha na mikoa mingine.

Unachopaswa kuangalia ni ukubwa wa eneo linalotumika.
 
Taja hekta zinazomwagiliwa tulinganishe
 
Back
Top Bottom