Mkoa wa DSM Kugawanywa na Kuunda Mkoa wa (Ilala +Kisarawe -HQ) na Dar Es Salaam

Huku ni kuongeza gharama tu za serikali katika kuendesha nchi ambazo hazihitajiki. Umeshasikia nchi za wenzetu wanataka kuongeza states zao au provinces zao? Mkuu wa mkoa mpya na gari lake la $150 millioni na subordinates wake chungu nzima!!! Kweli CCM haina mwelekeo.
 
Bubu Ataka kusema,
Mkuu unajua siku zote sisi maskini tukishindwa hutafuta mchawi na mara nyingi kisingizio huwa ukubwa wa nchi au ardhi..Tunaogopa sana kukubali kushindwa au lawama ziwe mikononi mwetu..Ni lazima kuna mchawi....tumelogwa. na kuugawa mkoa wa Dar ni moja ya mitazamo ya Mdanganyika..
Tumeshindwa kuuendeleza mkoa mdogo kuliko mikoa yote nchini.. Mkoa ambao una watu wengi zaidi ya mikoa yote with huge revenue, more ecomonic prosperity..Bila shaka kilichotakiwa kuondoka ni makao makuu kuhamia Dodoma..
Mara nyingi najiuliza kama kweli wasomi, viongozi na wanasiasa wetu wanafahamu sababu ambazo nchi zote duniani huyaweka Makao makuu ya Taifa nje ya Mji mkuu..Na kutofahamu huko (upeo mdogo0 ndio maana tunang'ang'ania makao makuu yabakie Dar, tunashindwa kabisa kuelewa sababu za kuhamia Dodoma..
 
Kwangu mimi, ku-decentralize huduma Dar-es-salaam ni muhimu kuliko hii bureaucracy ya mikoa. Na decentralization hii haihitaji mkoa mpya.

Watu wanataka kupitisha mgao viuri zaidi, na some gerrymandering katika election juu.

Long live lordly largesse!
 

Kudecentralize huduma kuziweka chini ya kina nani..hao wajanjawajanja waliojaa katika uongozi wa serikali za mitaa?.....

omarilyas
 

Bado wataongeza na majimbo ya Uchaguzi yale wanayoona yanaupinzania sana wanaya merge na yale watakayoshinda wanayagawa mara tano.
 
Kati ya hizo mbili ipi ni high na ipi ni low?
 
mimi kwa maoni yangu mkoa ambao ungepaswa kugawanywa ni pwani yaani kuwe na pwani kaskazini(kibaha,bagamoyo,chalinze n.k)na pwani kusini(kisarawe,mkuranga,rufiji,mafia n.k)kwani matatizo ya dsm yanaendelezwa na muundo wa mkoa wa pwani.na kwa sababu mkoa wa pwani haujaharibiwa sana kwa kuugawa tunaweza kuweka vipao mbele vipya na watu wakaenda kuishi huko badala ya kujibana dsm ambako sasa ni vigumu kurekebisha.
 
Last edited:
Sasa hivi tutasikia na ule Mkoa kivuli wa MAJESHI, unatafuta kuwa na wilaya zake pamoja na majimbo yake ya uchaguzi.
 

Na ukianzishwa mkoa wa Ilala, mkazi wa Kinondoni anayefanya kazi Temeke itabidi apite mkoa mwingine kwanza ili kufika kazini kwake na vivyo hivyo mkazi wa Temeke.
 

Mkuu, mimi nahitaji high density plot, vipi watakuwa navyo make naona kuna low na medium density tu!
 
Mkuu Mimi sina uhakika kwani bado ni tetesi. Ila kama ni kweli Kijiografia bado ni sawa. Angalia ramani ni wilaya ya Ilala tu inapakana na Kisarawe:


Hata Kinondoni nayo imepakana na Kisarawe upande wa Kiluvya, kuna Kiluvya ya Kinondoni na ya Kisarawe.
 
Nadhani itafika mahali tutalazimik kuigawa na nchi yenyewe kabisa
 
Nadhani mkoa mpya utakuwa Temeke+Kisarawe. Kabla wilaya Temeke kuanzishwa, mwaka 74, ilikuwa ni sehemu ya Kisarawe na makao makuu yalikuwa ni hapo siku hizi ni wizara ya Kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…