Mkoa wa Geita ubadilishwe jina na kuitwa "Magufuli" kisha makao makuu yawe wilaya ya "Chato" mwaka 2031

Pale Msoga paiwetwe Jakaya na Lupaso paitwe Mjapa pia.
 
Kwann Chato isipewe jina Magufuli? Mmeona kimbembe cha madiwani wa Geita?
 
Mawazo mgando hivi huyo Magufuli aliwafanyia nini mnahangaika naye wakati ameshakwenda zake aaaagh
 
Makao makuu yaitwe john pombe!!!
 
Unajiona una akili sana na mathread yako ya hovyo kila siku.unapotezwa na wale wanaokusifu.
 
Na wewe na akili zako zote ukaona hiyo ni hoja ya kuleta hapa jukwaani?! Wasukuma bhana! Shenji kabisa
 
Sijui lini nyuzi za Geita na Chato zitaisha humu. Hata TBC haipiti siku hawajazungumzia hayo maeneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…