Elections 2010 Mkoa wa kagera wizi mtupu

Abdallah M. Nassor

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2008
Posts
600
Reaction score
620
Uchaguzi wa mbunge haukufanyika jimbo la Nkenge wilaya ya Misenyi kutokana na kasoro ktk karatas za kura
 

Zitunze saaaana hizo na baadaye tutampa Marando azishughulikie
 
Wakati naendelea kusikitika kwa kushindwa vibaya huko Kagera hii ya kuwaita watu wakimbizi kwenye nchi yao ni mbaya na ilikuwa sera ya CCM. So stop it! Daftari lilikuwepo kwa nini hakukuwepo kulalamika! Hata hivyo uko karagwe nasikia hakijaeleweka si kwa CCM wala Chadema
 

ccm ni majizi sana nawachukia daima kila kitu mpaka wachakachue lakini nadhani sasa wanaamini chadema ni moto wa kuotea mbali
 
Nakuomba pia uzitunze, lazima tuwaburuze mahakamani. Natoka Ngara, nasikia Ntukamazina (CCM) alipiga kampeni akiwa amekalia kiti, kiuno kwishnei, sipendi CCM wala nini!
 
Zipeleke hizo kwa wakuu wa CHADEMA. Usisubiri hadi kura zitangazwe mkuu.
 
Kama CCM watashinda basi mahakamani tu chadema inabidi ielekee hakuna jingine hapo................
 
the dreamer nakusikitikia sana. Kuna Watanzania kweli wanasingiziwa kuwa si raia, lakini je wale wenye vyeti vya kupiga kura Uganda na Tanzania hao ni raia wa nchi gani? Pia wanaishi kwa Residence Permit hivi hawa kweli ni raia? Wanyarwanda nchi yao inaruhusu Dual Citizenship, Tanzania hatuna hiyo lakini jamaa wamepiga kura. Kubali au kataa, Wageni wameipa kura CCM
 

Naamini maneno yako lakini labda iwe mijini maana vijijini hiyo ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…