Tetesi: Mkoa wa Mara kugawanywa

Naweza kubaliana nawe lakini kuhusu wilaya za M.Kaskazini sidhani kama itakuwa hivyo, labda kuwe na Tarime (M) & (V) lakini Nyamongo, Sirari na Tarime itakuwa ni wilaya ndogo mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…