Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Talking is cheap.Vipi joto huko uvunguni.Must go ya mitandaoni haina tija.CCM must go!
Safi sanaWakati zoezi la kupiga kura likiendelea leo Oktoba 29, 2025 nchi nzima Katika Jimbo la Tarime Vijijini, Nyamongo hali imekuwa ya sintofahamu ikiwa mida ya Saa 5 asubuhi vituo vya kupigia kura vikiwa wazi huku wananchi kutoonekana kusogea kupiga kura wakidai kusimama na Makamu Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) John Heche anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kuvunja sheria
Soma pia GE2025 - Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru