Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kwanza kabisa nitoe maana ya title hapo juu. Kuifanya Mbeya kuwa workshop ya elimu ni kama kuufanya mkoa wa Mbeya mfano wa kuigwa au sehemu ya kujifunzia kwa mikoa mingine
Kutokana na kiwango cha Elimu kwa huu mkoa wa Mbeya kuwa juu kila mwaka na kuwa constant kwa ufaulu bila kuyumba yumba tofauti na mikoa Kama ya Kilimanjaro, kagera na baba lao Dar es salaam ambayo kwa kipindi hiki huwa ni ina shuka na kupanda kwa maana haiko constant
Ni muda kwa serikali kuufanya mkoa wa mbeya kuwa WOKSHOP kwa mikoa mingine ili kukuza elimu ya Tanzania.
Mwaka huu topteni 10 ya wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa, wanafunzi 7 wametoka mbeya .......
Cheki orodha hapa chini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kisha toa maoni yako