Imbombo ngafuMimi Gussie Mkinga wa Makete huko na Mwana CCM imara nimewanyoshea mikono watu wa Mbeya Katika matokeo ya Kidato Cha nne ya mwaka 2021
Wanafunzi bora wote wanatoka huko kwenye shule iliyopo hapo mjini ...
... ni kinyume chake; wazazi ndio wanaoichagua na kwa kuwa demand ni kubwa kuliko supply wafanyeje kama sio mchujo? Na duniani kote vigezo vya mchujo vinafahamika.Shule yoyote ikijichagulia wanafunz inayowahtaj inapga one zote
Akili kubwa sana... ni kinyume chake; wazazi ndio wanaoichagua na kwa kuwa demand ni kubwa kuliko supply wafanyeje kama sio mchujo? Na duniani kote vigezo vya mchujo vinafahamika...
mmmh nje ya St Francis ni ngumu sanaGUSSIE,
..HONGERA kwa hiyo div 1 kali kabisa ya dogo.
Nina maswali matatu.
1. dogo alisoma shule ya msingi Dsm, au Mbeya, au kijijini?
2. je, dogo amepata div 1 kali kwasababu ya St.Francis au angefaulu hivyohivyo hata kama angesoma shule ya serikali?
3. ni asilimia ngapi ya wanafunzi wa St.Francis wanatoka ktk shule za msingi za mkoa wa Mbeya?
mmmh nje ya St Francis ni ngumu sana
Maswali mazuri mno. Jibu murua asilimia kubwa mno wa shule top10 schools zote wanatokea mkoa wa Dar Es Salaam ambako kuna mchanganyiko wa makabila.
Siyo kweli. Kuna shule Moja huwa wanachukua wanafunzi 120. Interview yake hiyo nyomi ni hatari wanaofanya mpaka elf 8 plus. Kuna kipindi walifanya interview Kwa vigezo vyao hawakupata wanafunzi 120 hivyo walichukua wanafunzi 90 Tu. Kifupi hawakubali kabisa kuchukua below cut off points zao.... ni kinyume chake; wazazi ndio wanaoichagua na kwa kuwa demand ni kubwa kuliko supply wafanyeje kama sio mchujo? Na duniani kote vigezo vya mchujo vinafahamika...
Siyo kweli. Kuna shule Moja huwa wanachukua wanafunzi 120. Interview yake hiyo nyomi ni hatari wanaofanya mpaka elf 8 plus. Kuna kipindi walifanya interview Kwa vigezo vyao hawakupata wanafunzi 120 hivyo walichukua wanafunzi 90 Tu. Kifupi hawakubali kabisa kuchukua below cut off points zao.
Necta wamekwepa kutaja mikoa kumi bora,na ile ya mwisho,nahisi kuna mikoa yenye wapigakura wengi imeangukia pia.Mimi Gussie Mkinga wa Makete huko na Mwana CCM imara nimewanyoshea mikono watu wa Mbeya Katika matokeo ya Kidato Cha nne ya mwaka 2021....
Maswali mazuri mno. Jibu murua asilimia kubwa mno wa shule top10 schools zote wanatokea mkoa wa Dar Es Salaam ambako kuna mchanganyiko wa makabila. Ukitaka kushuhudia nenda kituo Kikuu cha kupakia na kushusha Msimbazi Centre. Kuna shule Moja inakuwa na mabasi 7 mpaka 8. Zidisha mara 57 seats.
Ni wangapi wa mkoa huo wanaosoma hiyo shule ?Mimi Gussie Mkinga wa Makete huko na Mwana CCM imara nimewanyoshea mikono watu wa Mbeya Katika matokeo ya Kidato Cha nne ya mwaka 2021
Wanafunzi bora wote wanatoka huko kwenye shule iliyopo hapo mjini ya Wakatoliki ya St Francis...
Hapa napata picha moja, hizi shule huwa haziamini uwezo wa wanafunzi wanaofaulu kwa mitihani ya serikali kumaliza darasa la saba, hivyo nao huwa na mitihani yao yenye quality waitakayo ili mwanafunzi afaulu ndio wajiridhishe na kiwango chake cha kumpokea form one.Siyo kweli. Kuna shule Moja huwa wanachukua wanafunzi 120. Interview yake hiyo nyomi ni hatari wanaofanya mpaka elf 8 plus. Kuna kipindi walifanya interview Kwa vigezo vyao hawakupata wanafunzi 120 hivyo walichukua wanafunzi 90 Tu. Kifupi hawakubali kabisa kuchukua below cut off points zao.
We jamaa nakuchukuia sana... hasa pale ulipokuja na uzi wako wa Kutetea Kikokoteo kipya cha Wafanyakazi... Acha Unafiki Bro... 90% ya ndugu zako ni wafanyakazi either sekta binafsi au serikaliniMimi Gussie Mkinga wa Makete huko na Mwana CCM imara nimewanyoshea mikono watu wa Mbeya Katika matokeo ya Kidato Cha nne ya mwaka 2021...